Makapuku Forum

HEKIMA
Family naomba maana ya neno hekima
Cc bitoz
Jimena
Musilin5
Billy5
Shululu
Sweetie
Na wengineo
Hekima kwanza inatoka kwa Mungu ni kama talanta...mtu ana kuwa na akili ya kugundua mambo haraka zaidi kwa utashi wa hali ya juu...wakati mwingine hata mtu anataka kukufanyia hila unagundua na pia mtu mwenye hekima huwa anaongea mambo possitive tu wakati wote hana hiana. Hii ni kwa jinsi mimi navyoelewa maana ya neno Hekima
 
Ndio!! aweke Strategic plans zake mezani...watu tutamsupport....maneno mengi hayatoshi
Hawezi kuweka, hajazoea kutumia kwa utaratibu na kufuata sheria

Yeye akiamua kufanya anafanya bila kujali chombo gani kinahusika na hii kazi au fedha

Kifupi yeye ndio Rais, waziri wa fedha yeye, mipango yeye, miundombinu yeye na mambo ya ndani yeye

Sasa hapo tusemeje?
 
CIA wazee wa kazi
 
No doubt Marekani waliangukia pua
 
Asante kwa ufafanuzi murua

Kingine huwa hawana makuu popote pale, hajali anakaa wapi, anakula nini anaongea na nani
 
HEKIMA
swt p umejibu vizuri sana, ufupi ni huu
HEKIMA
ni uwezo wa mtu;
Kufanya jambo sahihi kwa;
Wakati sahihi
Mahali sahihi
Kwa watu sahihi
Au vitu sahihi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…