Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Upinzani wa kibongo una shida kidogoHii ni story ndefu sana, Sema ni ngumu kuiweka humu, lakini upinzani walikosea sana na Kuna watu ndio waliwaingiza mjini nao wakajaa
Upinzani wa kibongo una shida kidogoHii ni story ndefu sana, Sema ni ngumu kuiweka humu, lakini upinzani walikosea sana na Kuna watu ndio waliwaingiza mjini nao wakajaa
To be honest hawezi tena kuwa mgombea 2020.Hilo ndio tatizo kubwa sana. Mfano Edo akirudi alipotoka itakuaje?
Sasa simu haina space na nadelete lkn wapi..natoa application lkn wapiPole mkuu, japo wewe ni fundi ktk hilo
Dogo anajua sana huyu aisee,namkubali sanaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, tukutane tena kesho kwa Udhamini mnono wa Kevin De Bruyne!
Jumapili njema Wakuu.
Sasa simu haina space na nadelete lkn wapi..natoa application lkn wapiPole mkuu, japo wewe ni fundi ktk hilo
Hawezi kuwa mgombea wa upinzani tena au?To be honest hawezi tena kuwa mgombea 2020.
Matokeo yake?2014 - Scotland yapiga kura ya kujitenga katika United Kingdom.
Hawezi hata kidogoTo be honest hawezi tena kuwa mgombea 2020.
Kwangu mtandao hauko sawa kivileSasa simu haina space na nadelete lkn wapi..natoa application lkn wapi
..........
Jaribu kurestartSasa simu haina space na nadelete lkn wapi..natoa application lkn wapi
..........
Tutajie japo 3 bora1949 - Peter Shilton anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Uingereza ambaye anashikilia rekodi ya Mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi katika timu ya taifa ya England ambapo amecheza Mechi 125.
Peter ShiltonTutajie japo 3 bora
.........
Nyangema uko makin sanaGharama yake kupoteza data
![]()
![]()
![]()
..........
Nyangema uko makin sanaGharama yake kupoteza data
![]()
![]()
![]()
..........
Wameendelea kubaki. Wengi wameridhika kuendelea kubaki.Matokeo yake?
........
Upo njemaPeter Shilton
Wayne Rooney
David Beckham
Hata ukiback up hazirudi data zoteNyangema uko makin sana
De Bruyne anaufanya mpira Uonekane mchezo mwepesi sana! Movement zake akiwa na mpira ni hatari, hachoshi kumtazama.Dogo anajua sana huyu aisee,namkubali sana
Asante mkuu mussolin
Uwe na jumapili njema
Acheni kutukumbusha upupuDe Bruyne anaufanya mpira Uonekane mchezo mwepesi sana! Movement zake akiwa na mpira ni hatari, hachoshi kumtazama.