makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,953
- 104,338
Wacha urongo!!!Picha za Simba nazitafutaga sipati
.........
Wacha urongo!!!Picha za Simba nazitafutaga sipati
.........
Mi hii serikali tayar imeshanipa stress vya kutosha sijui wananitafuta nini mimi. Mambo yakiwa sawa ntahitaji mwanasaikolojia anisaidieNani amewaloga wanasiasa wa tz?
Wanataka matajiri waishi km mashetani..yakija majanga wanawapigia hao hao matajiri magoti wapewe pesa.
Wanataka mshikamano lakini hawataki suluhu na wapinzani
Wanakataa misada ya wapinzani,
Wanawaziba midomo wanaowakosoa.
Duuuh nimetokea kuwapuuza hawa watu

Sawa sweetiepie nimekuelewa......sitokuja kuita mkuu tenaSacajo please....please mkuu ni Mungu tu humu ndani sisi sote ni makapuku sawa eeh? usiite watu wakuu.
Haha kile kibabu chenu kuna siku walikionyesha nyumbani kwake kina makochi mekunduNa hata zisije humu



nikajua kinaikubali simba kimyakinya 

Next kuwa makini...mjeda lazma awe alerted na ishu yoyote wakati wowote....usije ukajiharibia kaziJana kingongo kiliingia kupitia mlango mwingine ndio maana sikukiona![]()
![]()

Haya nipo tufurahi sasaHaina mbaya.. Umemisika tu na mimi![]()
KwaniniNa hata zisije humu
Woga nao ni dhambi muache atoe ya moyoniWe muache alete fyoko fyoko hiiiii
Sasa ndo itabidi huyo mkulu aishushe ile kodi ya kule bandarini kama awali jamaa waendelee kuleta mizigo yao kupitia paleMbaya zaidi waliotoa zile fedha za misaada ni wafanya biashara hao hao ambao wamewabana mwaka huu....Mungu anawaonyesha kwamba riziki ya mtu haizuiliwi na yeyote yule hata iweje.
Mimi sio mtakatifu.Wengine wanautumia huo msamiati najua, kwako wew mtakatifu wa Bwana hustahili![]()
Karibu, anytime.Ushamfikisha kwenye mikono salama, shukrani kwa hilo shem lake
Kila nikijaribu kulike mkono unagomaLike tuu mkuu nae ajihisi mtu katika watu
![]()
![]()

Please mi ni kapuku....sijambo za mida?Marhaba.....jambo mkuu sweetiepie??
Ashaelewa tayarBitoz anajaribu kubisha.....hebu jaribu kunisaidia ili aelewe
Hajui kama kwenye ukweli uongo hujitengaUmeona eeh?
Pia nimeshangaa kidogo maana kwa kumuangalia alistahili awe na mwili mwembamba au angalau wa wastani...sa naona nyuma huko duuhHivi hiyo picha sio photoshop kweli? mana naona huo mzigo wake hauna ratio na mwili wake
