Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Niaje??Mkuu mimi nipo sema tumepoteana sana.
Nafurahi kukuona Umzima wa khali.
Hope leo utaweka vitu au sio??
Niaje??Mkuu mimi nipo sema tumepoteana sana.
Nafurahi kukuona Umzima wa khali.
Sema bri brizNiaje humu ndani?
Humu ni safi tuuNiaje humu ndani?
Mamboz shem, hivi hujaonana na pacha wako? Mara ya mwisho tumeonana asubuhi afu sijamtia tena machoni mpaka sasaWameitengeneza!![]()
Poa kaka, niaje pande hizo?Sema bri briz
Bora nimekuona dia mana nlishaanza kupata wasiwasi, umeshindaje wangu?Niaje??
Hope leo utaweka vitu au sio??
Mdogo wangu swt p mbona kauli hii imenipa ukakasi!!!Duuuuh anava nguo za aina gani huyu!! sipati picha watakuwa wamemla sana 0713 hadi kajifia.
Kwema kaka, huko kwema?Poa kaka, niaje pande hizo?
ThibitishaMe sio askari......bali ni mjeda
Poa kabisa,Niaje humu ndani?
Mambo ni vipi mkuu sacajo, naona unausukuma uzi kwa 180kphHumu ni safi tuu

Mamboz shem, hivi hujaonana na pacha wako? Mara ya mwisho tumeonana asubuhi afu sijamtia tena machoni mpaka sasa
Jambo afandeThibitisha

Kwema sana tunashukuru mambo yanaendaKwema kaka, huko kwema?
Uongo sawa na uchawi,,,kuuthibitisha ni kaziThibitisha
Kama kawaida mkuu briz......tunazidi kuukimbiza tuuMambo ni vipi mkuu sacajo, naona unausukuma uzi kwa 180kph![]()

Haina mbaya.. Umemisika tu na mimiPoa kabisa,
Niaje??

Ni jambo la kushukuru, Mungu atuepushe na majanga kwani hatutasaidika kwani serikali inabana matumizi,Kwema sana tunashukuru mambo yanaenda