sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Inaonyesha wewe ni mnaa wa ngamia f.cAaaaah basi tu
Inaonyesha wewe ni mnaa wa ngamia f.cAaaaah basi tu
Inapaswa tufikirie sana maana hali si shwari kwakweli.Hhmm.. Usitegemee sana kuwa na kesho nzur, wakat, juzi,jana na leo ubaya umeongezeka.. Atleat ingekuwa kuna utofaut wa afadhal tokea juzi.. Ila ni shida zinazid kila uchwao.
Inawezekana kuanza upya, mimi naanza sasaIlipaswa tuwe watakatifu na ndio ilikuwa nia ya Muumba tangu mwanzo wa uumbaji... lakini ndio hvyo tena wakati mwingine tunaenda kinyume na maandiko dhambi imekithiri kila kona sasa hivi hata kuongea na Mungu kama zamani vile manabii wanasikia sauti yake na ishara zake haiwezekani..dhambi zimeuficha uso wa bwana.
Nahisi muda si muda atapoteza ajira yake....Timua huyo.. Hafai, kazi imemshinda.. Anapiga soga km mh. msoga


We wacha kabisa.. Its better toHakika umenena, na ukileta fyoko fyoko mtukufu akipigiwa cm hatujui ndani ya dkk 5 nin kitakuwa kimetokea
, maana hawacheli fain kuwa 20mlNakuhitaji ukasomee usistaNakuaje mtakatifu sasa? mbona sikuelewi labda unambie kwanini unasema mimi ni mtakatifu maana nachofahamu hapa Duniani hakuna mtakatifu hata mmoja "maandika yanasema "wote wametenda dhambi wote wameoza" ila tu binadamu tunajaribu kufanya mambo yanayompendeza Mungu na kuomba atusamehe pale tunapokuwa tumeanguka dhambini. Ila mtakatifu Duniani hayupo Ova

Sina uhakika kwa kweliHivi hiyo picha sio photoshop kweli? mana naona huo mzigo wake hauna ratio na mwili wake
Fresh tu, namshukuru mungu johMishe zinaendaje man?
Kama hutanii uko serious ubarikiwe umechagua jambo jema hakika. Na usimamie maneno yako kwa vitendo isiwe ni maneno tu ya mdomoni watu waone... kumbuka Mungu hajaribiwi au kudhihakiwa.Inawezekana kuanza upya, mimi naanza sasa
Hufai kuwa askar mkuu.. Hyo sio sababuJana kingongo kiliingia kupitia mlango mwingine ndio maana sikukiona![]()
![]()
Tangu lini umeona mzaha wangu hapa!Kama hutanii uko serious ubarikiwe umechagua jambo jema hakika. Na usimamie maneno yako kwa vitendo isiwe ni maneno tu ya mdomoni watu waone... kumbuka Mungu hajaribiwi au kudhihakiwa.
Nimejipanga sasa...Nahisi muda si muda atapoteza ajira yake....![]()

Haha kile kibabu chenu kuna siku walikionyesha nyumbani kwake kina makochi mekundunikajua kinaikubali simba kimyakinya
![]()

Na kulia pia..Si naruhusiwa kucheka![]()
Kumbe yote yanayoendelea humu ni serious hakuna mzaha wakati mwingine? sikufahamu.Tangu lini umeona mzaha wangu hapa!
Haya on your feet soldier!!!!Nimejipanga sasa...![]()
![]()
![]()
Hahaa... Jaribu mara ya mwisho..Kila nikijaribu kulike mkono unagoma![]()
![]()
Sio hvyo mkuu.......uchovu wa depo ndio umepelekea hivyoHufai kuwa askar mkuu.. Hyo sio sababu