Huo ndo ukweli mkuuDuh! Sasa huo utakua ni upuuzi, afu hili tetemeko limetoa taswira pengine hata hata yale makusanyo ya tra tunayoambiwa yamevuka malengo labda ni taarifa iliyopikwa tu
Hizi siwezi kulike maana me ni mnazi wa simba

Usijali mkuu we saka kwanza ugali nukuu tutasubiri tuNukuu ya leo nitaileta saa nne, nimebanwa sana kwa sasa

Picha za Simba nazitafutaga sipatiHizi siwezi kulike maana me ni mnazi wa simba![]()
![]()
PointNani amewaloga wanasiasa wa tz?
Wanataka matajiri waishi km mashetani..yakija majanga wanawapigia hao hao matajiri magoti wapewe pesa.
Wanataka mshikamano lakini hawataki suluhu na wapinzani
Wanakataa misada ya wapinzani,
Wanawaziba midomo wanaowakosoa.
Duuuh nimetokea kuwapuuza hawa watu
Ni poa, arifNiaje humu ndani?
Kisheria sijawaambia bado! Hii ni siri ya watu wawili na karani aliyechapisha siri hii!Sasa mbona we umetuambia?![]()
Mbona kawaida tu...nilikuwa najaribu kucomment kuhusu yule mdada tu wala hakuna tatizo niko sawa tu.Mdogo wangu swt p mbona kauli hii imenipa ukakasi!!!
Sio kawaida yako, hebu rudi kwenye laini.
Nakurudi coz nakupenda ova
Picha za Simba kuzipata ni shida......kwahiyo msifikiri napost kishabiki
Napenda sana kubalance mzani
..............




huo ni unaa, kila siku za simba tu ndo inakua shida?Wise words must be quotedUongo sawa na uchawi,,,kuuthibitisha ni kazi

Shikamoo mjedaMe sio askari......bali ni mjeda
Daaah fanya kuzitafuta mkuuPicha za Simba nazitafutaga sipati
.........
Shem lake...niko poa, umeshamuona Wife eeh? nilimwambia aje.Niaje humu ndani?
Nan anabisha wewe ni kamanda bhaana!!Kama ni kamanda niseme nini sasa???
Akaunti yao hawapost picha hata wacheze mechi.....ninazo akaunti za timu zote kubwa Bongo kuanzia Azam,Mbeya City,Ndanda n.khuo ni unaa, kila siku za simba tu ndo inakua shida?
Hivi ndg zako wa karibu kule bukoba wamesalimika au simu zao hazipatikani?Kisheria sijawaambia bado! Hii ni siri ya watu wawili na karani aliyechapisha siri hii!