Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Niliisema nikiwa too emotional muda huo...ila sikuwa na maana mbaya sikuona neno sahihi la kuweka pale ikabidi nitumie vile...sisi ni watu wazima maana pia ni msamiati ambao unatumika sana.Nimekuelewa ila lile neno cjui kuliwa nini...ndo limenishtua ci wajua vjazoea kusikia hiv toka kwako!


