Dah! Inasikitisha sana mkuu serikali iko kwenye kubana matumizi zaidi.. Ni kuomba tu haya majanga yasitokee, Pole yao sana wanabukobaNi jambo la kushukuru, Mungu atuepushe na majanga kwani hatutasaidika kwani serikali inabana matumizi,
Cc wanabukoba
Wanabana matumizi hadi mahali ambapo wanatakiwa kutumia, swali wanabana ili wawadhibiti wapinzani?Dah! Inasikitisha sana mkuu serikali iko kwenye kubana matumizi zaidi.. Ni kuomba tu haya majanga yasitokee, Pole yao sana wanabukoba
Nakuona mkuu unaipeperusha bendera yetu vilivyo uzi unakua active...Kama kawaida mkuu briz......tunazidi kuukimbiza tuu![]()
![]()

Miss you sanaBora nimekuona dia mana nkishaanza kupata wasiwasi, umeshindaje wangu?
Kama kawa mkuu......makapuku siku zote tutabaki juu......ni mwendo wa kuwatimulia vumbiNakuona mkuu unaipeperusha bendera yetu vilivyo uzi unakua active...![]()
![]()
![]()

HaaaahaaaaJeshi lao la Vingongo Forum limeshakufa kifo cha mende
.............
Duh! Sasa huo utakua ni upuuzi, afu hili tetemeko limetoa taswira pengine hata hata yale makusanyo ya tra tunayoambiwa yamevuka malengo labda ni taarifa iliyopikwa tuWanabana matumizi hadi mahali ambapo wanatakiwa kutumia, swali wanabana ili wawadhibiti wapinzani?