Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Nan?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Nan?
Natumai kaona mwenyewe..Nalog off, akirudi mpe hi sanaa
Akili unazo, sema basi tu, unatuigizia sisi.Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia
..
"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganisha"
Sogea karibu na M ungu Mpendwa ili uhisi uwepo na ukuu wake.
........................
Bora wewe umesemaMmh sikufichi Bitoz hapo wote wakali
Mpotezee bana, [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani ulimreply nani
........
MagariNani zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Asa unashindwaje kuona jinsi hizo kitu zilivo POTENTIAL??Me mzma wewe
Mie hta sielew..[emoji53] mnazungumzia nn?
3/4Kwani yupo nusu na robo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Vile ulivyoelewa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] , kwa urefu au ufupi??
Tatizo sitaki kuukosa upadre kisa hayo mamboAsa unashindwaje kuona jinsi hizo kitu zilivo POTENTIAL??
Niliwahi kumwambiaga lakini sijui anasahauMpotezee bana, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inaonekana wamebanana huko, wanapumuliana wao kwa waoKile kingongo kimekomaa hata ukitukane kina rudi tena labda kina shida ya Likes
Kimeacha ukumbi wao kule
.........
Hhahaha, basi utakuwa unapenda flaaatibottomedSio kupinga bali nafuata sheria zinavyosema
Sidhani kama kuna asiyeyapenda, sema kuyapata ndo ishuInaonekana mnapenda magari
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Na [emoji208]susa alichoka kuita majinaInaonekana wamebanana huko, wanapumuliana wao kwa wao
Na chakula hawapeani
[emoji1] [emoji1] [emoji1].....kawaida mkuu......ila sheria ndio zinatakiwa kufuatwaHhahaha, basi utakuwa unapenda flaaatibottomed
[emoji23]Kile kingongo kimekomaa hata ukitukane kina rudi tena labda kina shida ya Likes
Kimeacha ukumbi wao kule
.........
Dah, walikukose nini kamanda?Kile kingongo kimekomaa hata ukitukane kina rudi tena labda kina shida ya Likes
Kimeacha ukumbi wao kule
.........
uchochezii huuMie hta sielew..
[emoji86] [emoji86] [emoji125] [emoji125] usije kumtoa mtu kibusha bure