Makapuku Forum

Makapuku Forum

1473717582197.jpg
 
Kumbe nisipokuwepo ndo huwa mnapiga umbea wa namna hii...!
Hakika wanaume tumebaki wachache
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilikwambia mimi hao wengine ni wakuna nazi.. Nakupiga soga jikon na dada zao
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85]
 
Hahahahaaaaaaa😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛

We si ulikuwa kwa kile kidemu, afu nashangaa kimekutema...hahahaha, umekesha nacho siku nzima ila umeambulia patupu....una uanaume gani wewe???😛😛😛😛😛🙁🙁

nimecheka sana iSeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti unasema kwamba.......
[emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti unasema kwamba.......
[emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Kafukuzia manzi siku nzima....ila kaambulia patupu hahahaha

jonax banaa.... kwa mikosi ni JF nzima 😀😀😀 alafu anajisemesha eti wanaume wamebaki wachache, labda sikumuelewa...nimecheka sana aisee
 
Back
Top Bottom