shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ndani ya dk12 gori 3Hatric Lukaku
Ndani ya dk12 gori 3Hatric Lukaku
Tatzo ulikuwa unashabikia arsenalNimeachaga kuwa mshabiki wa kweli nilijigundua nina hisia kali, hivyo nilikuaga naumia sana tukifungwa
Huyu jamaa hafai.......man u wanamkumbuka vizurNdani ya dk12 gori 3
Man utawajua tu kwa kuhukumuTatzo ulikuwa unashabikia arsenal
We subiri tu
Man utawajua tu kwa kuhukumu
hiyo sio hukumu......bali. nimemwambia ukwelii
ChelseaTatzo ulikuwa unashabikia arsenal
Daaaah poleee....Ila unakaribishwa MAN BLUEChelsea
Karbu tena mkuuuKitambo kidogo pande hizi
Ushabiki nimeuacha mkuuDaaaah poleee....Ila unakaribishwa MAN BLUE
nimekaribia,kwema hapa lakini?Karbu tena mkuuu
Ushabiki nimeuacha mkuu
ukiwa shabiki unaweza ukafa kwa pressure....au ukashiba kabla Ya kulaHata mimi yananikera
Duuuh yamezidi......too much is harmful
Kila ukiingia KF unakutana na manyani
Utafikiri kundi la manyani bhana na mapicha ya kutishanatishana
![]()
![]()
![]()
...........
Hapa kwema kabisanimekaribia,kwema hapa lakini?
Kumbe nisipokuwepo ndo huwa mnapiga umbea wa namna hii...!
