makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,972
- 104,394
Umefananisha wewe, kabutua pacha wake, sio yeye..Swt p
Umefananisha wewe, kabutua pacha wake, sio yeye..Swt p
Kwahiyo hata ufute post zako zote KF bado 100k itakuwepo kwa yuleyule aliyetupia
YAMEISHA
...................

We Perege umeanzaBora hujapata wewe mvaa kata k, tusingelala kwa amani kambi ya upinzani
Ni kweli asee, JF ilistak kwa mida ile spidi haikuwa mchezoUnajua kuiona ilikuwa lazima utoke jf harafu urudi tena, ndio unaona vizuri post ya 100000 ni ya nani
Napenda kutoa pole kwa wale wote;
walioweka bando la chuo ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
Waliokopa vifurushi ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
waliokesha na kuipania 100k ila wakaikosa.
Waliotangaza kwenye magroup yao Whatsapp kwamba watatusua 100k ila wameikosa.
Waliodhani 100k itafika Kesho au Kesho kutwa kumbe shughuli ilikuwa leoleo.
huu mchezo hauhitaji hasiraAcha mboyoyo
Unasumbuliwa na komoni au umesahauNa ww hujaelewa
Ukidelete post # hazitabadilika
Mpangilio wa page ndo unabadilika.mfano delete post yako uone # za post kabla + baada yako hazibadiliki kamwe
....... ..................
Hakika...hebu weka picha kidogo nifurahi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
huu mchezo hauhitaji hasira
Hahaa.. Pole, vumilia tu, lile zee la makimba makubwa ndivyo lilivyo, muone alivyo, maskio kama upawa wa mama ntilie bugurun.Nakupenda zaidi, tuingie chumbani
Jecha kanifutia matokeo hata ukanipoze na tunda![]()
![]()
![]()
Hiyo ya mwisho ilinihusu aiseeNapenda kutoa pole kwa wale wote;
walioweka bando la chuo ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
Waliokopa vifurushi ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
waliokesha na kuipania 100k ila wakaikosa.
Waliotangaza kwenye magroup yao Whatsapp kwamba watatusua 100k ila wameikosa.
Waliodhani 100k itafika Kesho au Kesho kutwa kumbe shughuli ilikuwa leoleo.

Kambi zinasaidia sanaHahahaha halafu hiyo tuition yako usiiache
Hongera za dhati kwako MALKIA WA NGUVUQUEEN![]()
Yani ngepata mm mngejuata...We Perege umeanza
![]()
![]()
![]()
![]()
.............

Cc sweetiepie
Usilie ni mchezoAiseee...machozi yananilenga
Acha mboyoyo
Ngoja nilale naona 100k povu jingi mbona zingine hazikuleta mabishanoUnasumbuliwa na komoni au umesahau
Hapana, niliitamani ila sikupania kiasi hicho..Uliipania sana tatizo