ALU255
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,089
- 2,125
Dah nazitamani hizoDah yan nimeikosa kidogo tu 99999.. Duh!
Dah nazitamani hizoDah yan nimeikosa kidogo tu 99999.. Duh!
Aisee ulikuwa team gani?Woyooooooo
Winner ni nani???View attachment 395133
W.I.N.N.E.R
Hongera
Sasa mvizie ya 150k
.................
..................
*************

sio Quigley??Bonge la speech, pamoja sana bepariNimefurahi sana jinsi forum ilivyokuwa busy kila mmoja akipambana kutaka kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kupata 100k.
Huu ni ubunifu wa pekee ambao pengine sisi ndio waasisi hapa JF.
Tuendelee na KF yetu, maana ndio uzi pekee uliofikia Milestone ya 100k toka kuanza kwa JF miaka 10 pekee.
Tuzidi kushirikiana kwani kwa sasa tupo kama ndugu, ingawa hatujuani kwa sura lakini upendo uliopo ni Mkubwa sana!
Pia nawakumbuka sana wenzetu walioishia njiani kama Szczesny naomba 100k iwe kwa heshima yake!
Ni wenu Mussolin5
a.k.a
Dikteta
Komredi
Bepari
Mwenyekiti.
Ahsanteni sana, amani iwe kwenu.
Mshindi JJUwiiiiii 100k?????
Weka pichaUbarikiwe sana mkuu, hongera tena nilikua wa kwanza kukupa hongera sema usingeweza kuiona iko karibu na 100k
Huu mchezo hauhitaji hasiraShemelaaa
Acha kupotoshaQuigley
Mshindi ni wewe kumbe!!!Maana hamna namna sasa
Ndiyo basi tenaHata mm cm yangu ilianza kustuck pale nlipokaribia ubingwa
Asante, inahitaji moyo maana nimeshawahi kujiunga mwanzoni mwanzoni hata kabla ya kufika 1000, nikashindwa na kasi, sijui kama kwa sasa ntaweza tenaNimefurahi sana jinsi forum ilivyokuwa busy kila mmoja akipambana kutaka kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kupata 100k.
Huu ni ubunifu wa pekee ambao pengine sisi ndio waasisi hapa JF.
Tuendelee na KF yetu, maana ndio uzi pekee uliofikia Milestone ya 100k toka kuanza kwa JF miaka 10 pekee.
Tuzidi kushirikiana kwani kwa sasa tupo kama ndugu, ingawa hatujuani kwa sura lakini upendo uliopo ni Mkubwa sana!
Pia nawakumbuka sana wenzetu walioishia njiani kama Szczesny naomba 100k iwe kwa heshima yake!
Ni wenu Mussolin5
a.k.a
Dikteta
Komredi
Bepari
Mwenyekiti.
Ahsanteni sana, amani iwe kwenu.
Hongera sana my Katibu kwa 100k.Nimesave hii screenshot![]()
![]()
![]()
![]()
Nilijua nimeikosa
Kama namuona Kigli..Hurayyyyyy
Yani huyu alikuwa lafa kwel...Pole sana

Amani kwako mkuuNimefurahi sana jinsi forum ilivyokuwa busy kila mmoja akipambana kutaka kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kupata 100k.
Huu ni ubunifu wa pekee ambao pengine sisi ndio waasisi hapa JF.
Tuendelee na KF yetu, maana ndio uzi pekee uliofikia Milestone ya 100k toka kuanza kwa JF miaka 10 pekee.
Tuzidi kushirikiana kwani kwa sasa tupo kama ndugu, ingawa hatujuani kwa sura lakini upendo uliopo ni Mkubwa sana!
Pia nawakumbuka sana wenzetu walioishia njiani kama Szczesny naomba 100k iwe kwa heshima yake!
Ni wenu Mussolin5
a.k.a
Dikteta
Komredi
Bepari
Mwenyekiti.
Ahsanteni sana, amani iwe kwenu.
Aiseee...machozi yananilengaMusolin5 wewe noma sana, umeikosa kwa point kiduchu
NitakuotaNjoo nikushike mkono....