shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Mimi niliajibiwa forum iko busyDuuuh cjaamini mkuu
Mimi niliajibiwa forum iko busyDuuuh cjaamini mkuu
HazijaishaDah yan nimeikosa kidogo tu 99999.. Duh!
Hahaha jitahidi kwenye 101kNiliitamani sana hiyo 100k ilivyonipita hata sijategemea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wyueirriu
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jonax
TumeikosaJiraniiiii
Mwanga wwwwHiloooooo
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
..........
Naona hunizidi mimi....huku mbavu zinauma!! angalia post za Jonax!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee nimecheka sana watu mlivyokuwa mnatupia herufi mojamoja
Asante sanaHongera zako
.............
Bwana wako wa mwanzoniNani kaichukua!??
Cc mtoto wa mkulimaMaana hamna namna sasa
Hongera sana babe...[emoji7][emoji173]Ni kweli 100000 au
Chezea medalHeee! Amekua baby tena ghafla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maswali mengi kwani we ni police??Nani
Alikuwa anaandika herufi moja moja...amechit..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana
Pole sanaNavutwaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tu pande hizi tujifariji mpenzi [emoji4] [emoji4]
KisingizioHata mm cm yangu ilianza kustuck pale nlipokaribia ubingwa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimefurahi sana jinsi forum ilivyokuwa busy kila mmoja akipambana kutaka kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kupata 100k.
Huu ni ubunifu wa pekee ambao pengine sisi ndio waasisi hapa JF.
Tuendelee na KF yetu, maana ndio uzi pekee uliofikia Milestone ya 100k toka kuanza kwa JF miaka 10 pekee.
Tuzidi kushirikiana kwani kwa sasa tupo kama ndugu, ingawa hatujuani kwa sura lakini upendo uliopo ni Mkubwa sana!
Pia nawakumbuka sana wenzetu walioishia njiani kama Szczesny naomba 100k iwe kwa heshima yake!
Ni wenu Mussolin5
a.k.a
Dikteta
Komredi
Bepari
Mwenyekiti.
Ahsanteni sana, amani iwe kwenu.