Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Hiyo ya mwisho ilinihusu aisee[emoji4]
Hiyo ya mwisho ilinihusu aisee[emoji4]
Cc sweetiepieNapenda kutoa pole kwa wale wote;
walioweka bando la chuo ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
Waliokopa vifurushi ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
waliokesha na kuipania 100k ila wakaikosa.
Waliotangaza kwenye magroup yao Whatsapp kwamba watatusua 100k ila wameikosa.
Waliodhani 100k itafika Kesho au Kesho kutwa kumbe shughuli ilikuwa leoleo.
Hapa saa hizi inasoma E lakin fresh si haba.. Napata vya ukoko..Halotel ndo suluhisho, 3G huwa naipata hata nikiwa chaka
KakimbiaMrs. Navutwa where are you?
Mrs. NAVUTWAAAAACc sweetiepie
Hahahaha...nishafurahi!!View attachment 395194
nani kanuna???
Cc bitozCode zitakuja PM ila mwambie Lubuva akaniweke pale basi
Maana sio kwa usongo huu
Asante sana
KweliUsilie ni mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mbuzi noma sana, kama anapiga chabo vile
Ngoja nilale naona 100k povu jingi mbona zingine hazikuleta mabishano
USIKU MWEMA
.....................
Wote hao washakimbiaCc sweetiepie
Cc Jonax
Karibu sana chief...Nitamleta chief usiogope
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaha...nishafurahi!!
Ungabure anaisoma no, gape limekuwa kubwa sanaAcha mboyoyo
yap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mbuzi noma sana, kama anapiga chabo vile
[emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146] [emoji146][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nawe pia bitozNgoja nilale naona 100k povu jingi mbona zingine hazikuleta mabishano
USIKU MWEMA
.....................
Sio kwa Supidi hiiUngabure anaisoma no, gape limekuwa kubwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bitoz aliyeiba hela za ice cream juu ya friji kuweka bando bado kafeliNapenda kutoa pole kwa wale wote;
walioweka bando la chuo ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
Waliokopa vifurushi ili kuitafuta 100k lakini wakaikosa.
waliokesha na kuipania 100k ila wakaikosa.
Waliotangaza kwenye magroup yao Whatsapp kwamba watatusua 100k ila wameikosa.
Waliodhani 100k itafika Kesho au Kesho kutwa kumbe shughuli ilikuwa leoleo.