Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Duuuuh huo ukianguka huo haponi mtuView attachment 391565 kutoka Ludewa
Duuuuh huo ukianguka huo haponi mtuView attachment 391565 kutoka Ludewa
1983 - Jose Antonio Reyes anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal na Sevilla.
1989 - Daniel Sturridge anazaliwa
Mchezaji wa zamani wa Man City, Chelsea na Liverpool.
Niko ulimwengu wa EarthUko ulimwengu gani aisee
Hakuiona na nilijikausha kabisaaMh bas utakua na nyota ya hela wewe.. yan hata konda hakuiona kabisa hiyo?

Tatizo amepanic wakati huu mchezo huwa hauhitaji hasiraMakaveli, ni jimena kwenda iringa na si mimi na jirani yangu
Sweetiepie ni jirani yangu wa ukweli
I know baby........ Wala haikunipa shida kabisaOk, lakin ye deep down anaelewa vile namzimia sidhani kama hyo ilimpa shida
Uko sawa kabisaNilichogundua baby alikosea ku quote
Naelewa baby.... Mi mwenyewe nakuzimia jinsi ulivyo tuSio bure... Lakin baby ake si unaelewa vile mi napata kihoro juu yako?![]()
Vunga bhasssAchana nae tu huyo, ana dream mchana
