Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
[emoji23][emoji23][emoji23]Wala, mwizi hapaswi kuhurumiwa
Ninawakurupua, atoke nduki mkuki ukining'inia
[emoji23][emoji23][emoji23]Wala, mwizi hapaswi kuhurumiwa
Ninawakurupua, atoke nduki mkuki ukining'inia
Apeleke itv na tbc huko..Alikuwa anakupa taarifa tu
Mi nimeokota mara ya mwisho June 2014 nusu niiache labda mwenyewe atarudi kuitafuta ila nikapiga moyo konde nikaichukua kuliko niache aokote mtu mwingine bure
HahahahaAibu yako,
Hata wew!!!
[emoji57] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Hivi vishawishi sasa b.day yenyewe ishapita....
AkuAibu yako,
Hata wew!!!
Kurudi ilikua ni lazima huba ningekuachaje kwa mfano?Ila finally umerudi tena ukiwa katika ubora wako
Watu hawaangushi, kuna siku pia niliokota sh 900 noti ya 500 na mia mia 4 ilikuwa kwenye seat daladala ya mwenge posta, ila sijawahi kuhadithia mtu naonaga aibu maana ni ndogo sanaSasa mi sijaokota hata mia since then sa sijui ndo sina bahati ama watu wamekua wachumi sana
Mapenzi tu..i do it for loveYaani ameniroga huyu mkaka...mbona amenipata[emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwan hizo hela unazipoteza kwa kudondosha ama?Mie siokoti ila napoteza mim tu, sijui nna nyota gani mie maskini.
Thnx shemela..Asante pacha
Iko hot kama yako na ya Shem Makaveli10
Ndoa ilifungwa liniHuu ni uchochezi sasa niko honey moon usiniharibie...
Mia... [emoji111] [emoji111]Hiyo ya 3. nimeielewa sana aminia shem lake...
JJ....ulivyojibu pale mweehHaha dry kwa nani sasa?
Eti kwangu[emoji18]Haha dry kwa nani sasa?
Hana lolote huyo, fitna tuMpe sasa ashasema yake
Hii nayo ni kali zaidi aisee [emoji28][emoji28]Labda kama utaenda nae kaburini..
Napiga kwanza bastora ya mbupu, ili hata akipona vyombo visifanye kazi
Napiga ya mikono hata akipona shindwe ya kupapasia na kuminyiaminyia mwili soft.
Napiga ya ulimi, tuone papuchi atanyonyea nini..
Then namalzia ya kwenye moyo na kichwa.. Akipona tu, mie najiuzuru kuishi duniani.. Shabash.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo papaa ukiona bunch ya dola unapita mbali kabisa hata kama uko pekeako?Nimeachaga kuokota hela, nawaachiaga wengine[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chuma uleteMie siokoti ila napoteza mim tu, sijui nna nyota gani mie maskini.
[emoji7][emoji173][emoji173]Asante pacha
Iko hot kama yako na ya Shem Makaveli10