Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Tuletee Le DiktetaLeo katka Historia:
Tuletee Le DiktetaLeo katka Historia:
1969 - Mapinduzi ya Kijeshi yanatokea Nchini Libya na kumuweka madarakani Kanali Muammar Gaddafi.
Kumbukumbu ni muhimuUncle na wewe unapasha viporo vya nini??
Maskini Gaddaf walimmaliza1969 - Mapinduzi ya Kijeshi yanatokea Nchini Libya na kumuweka madarakani Kanali Muammar Gaddafi.
Weka pichaMbona humu humu!!
Haha ndo mana najizuia sana kula mtaani najua hawachelewi kunilisha umbwaNyama zipo huko?
Maana msije kula wooo woooo
Hamia geto kwake sasa uzuie hivyo vichenchedeHuyu lazma anaibiwa na vichenchede


Weka picha
Enzi hizo ilikuwa pindua pinduliwa1969 - Mapinduzi ya Kijeshi yanatokea Nchini Libya na kumuweka madarakani Kanali Muammar Gaddafi.
1991 - Uzbekistan yajipatia Uhuru wake toka kwa Urusi.
Hilo neno nimecheka sana (vichenchede)Huyu lazma anaibiwa na vichenchede
Nadhani ni vile vya past alivyonihadithia...huyu ni wangu sasa ntamuelekeza money management atakuwa makini.Hamia geto kwake sasa uzuie hivyo vichenchede![]()
Asante kubwa la madiktetaSina la ziada kutoka katika dawati langu, kwa udhamini mnono wa JJ, tukutane kesho.
Asante sanaSina la ziada kutoka katika dawati langu, kwa udhamini mnono wa JJ, tukutane kesho.
1962 - Ruud Gullit anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Uholanzi.