makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,589
Nimekosea.. Hyo ni ya QuigleyMakaveli, ni jimena kwenda iringa na si mimi na jirani yangu
Sweetiepie ni jirani yangu wa ukweli
Nimekosea.. Hyo ni ya QuigleyMakaveli, ni jimena kwenda iringa na si mimi na jirani yangu
Sweetiepie ni jirani yangu wa ukweli
Duh noma sana, kwan alikua anajua password yako ya acc ama ulikua unaweka hela ndani?Kuangusha sidhan, sikumbuk lini niliangusha, na kwa ubebaji wangu wa pesa hata nikiangusha ngumu kugundua ila kuibiwa ndio mara nying, zaid, last time kaja ndugu yangu tumechangia baba.. Kanipiga karbia laki 4 hv.. Nahisi alikuwa anachota kidogo kidogo kuja kugutuka imebaki laki 4
Lovely idea.. Ndo mana nakupendaga sugarHapo sawa mypia nitakapofika tutaweza kuangalia wapi panatufaa kwa pamoja
Ndo namimi nilitaka kushangaaKurudi ilikua ni lazima huba ningekuachaje kwa mfano?
Atakuwa anahongakwan hizo hela unazipoteza kwa kudondosha ama?
PleasureThnx shemela..
Wivu lazima uhusike hapoPunguza wivu sasa
Nilikua namkubali sana huyu mwamba1969 - Mapinduzi ya Kijeshi yanatokea Nchini Libya na kumuweka madarakani Kanali Muammar Gaddafi.
Nyama zipo huko?Hahahaa kwa hilo usipate tabu honey wangu, mchana ntakukaribisha lunch hapa kwa picha afu utaniambia kama wako vizuri ama tubadilishe chimbo
Cc QuigleyApeleke itv na tbc huko..
Nani kwa mfanoEti kwangu![]()
Huyu pacha atakuwa ametumwa
Sure..Ndo namimi nilitaka kushangaa
Najua hilo haliwezi kutokea hadi ukamilifu wa dahari
infinite Love
Thubutukwa hiyo papaa ukiona bunch ya dola unapita mbali kabisa hata kama uko pekeako?
Huyu lazma anaibiwa na vichenchedeDuh noma sana, kwan alikua anajua password yako ya acc ama ulikua unaweka hela ndani?