Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,517
- 40,631
Thema Nairobea[emoji85]Papaa, habari za nairoberia
Thema Nairobea[emoji85]Papaa, habari za nairoberia
Uko ulimwengu gani aiseeNmekuja kuchungulia post ya 100k kama imekaribia.. kumbe bado kabisa[emoji35]
HABARI ZENU WAUNGWANA?
Nmekuja kuwaaaga maana nasikia kuwa leo ndo kiama[emoji12]
Vipi?Nilijiandaa sana....lkn ndo imekuwa hivyo tena....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] afu wewe!!Za asubuhi cole[emoji85]
KaribuJJ Asante sana kwa magazeti
Mie huwa nachukua kale kakitambulisho kao tu. Halafu huyoo..[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi sihangaiki kujiandikisha kupiga kura na sithubutu kabisa
Morng joh..Morning family
Weka pichaDo you mean hippopotamus???[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ama kweli we ni pacha wa cwt"P" mmefanana vitu vingi... Sooo cute...
Morng broh..Morning all
Hayo ndio maneno sasaKumbe! Basi jamaa atakua kalivua pendo kishujaa sana, na mi nampokea JJ kwa mikono miwili
Nahisi sayari ya MarsUko ulimwengu gani aisee
Usawa mgumu huu maana hata hela njiani hatuokoti siku hizi kama zamani.Usawa huu wa anko Magu!!!
Achana nae tu huyo, ana dream mchana
Ukuta chalii.. Kifo cha mende.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha ukuta bado unajengwa au?