makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Ewaaa.. Hapo umelenga.Hamia geto kwake sasa uzuie hivyo vichenchede [emoji4][emoji4]
Ewaaa.. Hapo umelenga.Hamia geto kwake sasa uzuie hivyo vichenchede [emoji4][emoji4]
Super...[emoji132] you r my 1st, my last n everything in btwn.Nadhani ni vile vya past alivyonihadithia...huyu ni wangu sasa ntamuelekeza money management atakuwa makini.
Mie ndio maana natembeaga kibati tuu..
Hahaaa...Nahisi anaweka chini ya uvungu
Asante kwa historiaSina la ziada kutoka katika dawati langu, kwa udhamini mnono wa JJ, tukutane kesho.
Nakuaminia shem lakeNadhani ni vile vya past alivyonihadithia...huyu ni wangu sasa ntamuelekeza money management atakuwa makini.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 391565 kutoka Ludewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We usiniharibie ndoa jimena.. Ndoa yenyewe mbichi hii
I love u my darling...[emoji173]Super...[emoji132] you r my 1st, my last n everything in btwn.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kama nakuona vile ulivyojikaushaHakuiona na nilijikausha kabisaa [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8] yan najiskia kama naimiliki bahari vileNaelewa baby.... Mi mwenyewe nakuzimia jinsi ulivyo tu
Ntabaki wa kwako mpaka mwisho.. Huba tele mtimaniNakupenda pia
[emoji7][emoji7][emoji175][emoji175][emoji177][emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] to the moon and back
Hela zote hizo huwa zinakaa kwenye mfuko wa kanzu?Ndani tu ndugu yangu.. Kazifumania kwenye mfuko wa kanzu..
Hehehe ila unamiliki zaidi ya bahari[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8] yan najiskia kama naimiliki bahari vile
Ndio namshangaa sasaWakati sisi tunampango wa kuishi 400yrs [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Uchochezi [emoji115] [emoji115] [emoji115]I seeeeeeView attachment 391596
Ina maana tunashangaanaNdio namshangaa sasa
Naona mambo yamenoga!Uchochezi [emoji115] [emoji115] [emoji115]