Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
LAHA ni raha iliyopitiliza mamii.Mkongo hili neno LAHA nna walakini nalo...niambie maana yake kwanza ntakujibu![]()
LAHA ni raha iliyopitiliza mamii.Mkongo hili neno LAHA nna walakini nalo...niambie maana yake kwanza ntakujibu![]()
Akhsante kaka, mishe zinakwendaje lakin?Nice 2 c u again
Bamutu ba kongo bado uko parii?....asee Karibu briz, ....maadam unasoma acha nikuache usome, pamoja sana.
Huyu mtoto hajui tu.. Nataka nimpe "LAHA" si za sayari hii..Amna, utaki LAHA???
Thanks makaveli10, pamoja sanaWelcome home briz.. Himself.
Mishe ziko poa kabisa, utukufu kwa Atupaye riziki na uzimaAkhsante kaka, mishe zinakwendaje lakin?
Hahaa.. Silent killer..Kama Chicharito unasubiria offside waya!!!
MchinaYangu si ni Colgate tu...afu kuna nyingine ni Fluordent

Hii mutu iko paris bar hapahapa bongoBamutu ba kongo bado uko parii?
Dah.. Ndugu yangu, bado tupo kwenye majonzi.. Hata hatuelew tatzo.. Yote kwa yote, tunamtakia kila la kheri.Duh! ni nini tena kimetokea hommie? So kumi kubwa ndo basi tena??... Haya maamuz ulimshirikisha na JJ kweli?.... Nweyz kila la kheri kiongozi
Ca va papa!Kama Chicharito unasubiria offside waya!!!
Missing you too



to the moon and backAtazinguaje sasa,Kiubishi kuna mtu namdai anazingua![]()
Ndo hivyo tena, jamaa katuacha puzzledDuh! ni nini tena kimetokea hommie? So kumi kubwa ndo basi tena??... Haya maamuz ulimshirikisha na JJ kweli?.... Nweyz kila la kheri kiongozi
Pamoja mnoo mkuu.. Tulikumc kichiz hommieThanks makaveli10, pamoja sana
Akhsante sana ankali, habari ya hapo mujini?Karibu mwana mpotevu
Niko Alusha kwa Hidaya wangu naondoka jioni hii kuelekea Nairobi.Bamutu ba kongo bado uko parii?
AminiaHuyu mtoto hajui tu.. Nataka nimpe "LAHA" si za sayari hii..
Pepe kale...Niko Alusha kwa Hidaya wangu naondoka jioni hii kuelekea Nairobi.
SawasawaHahaa.. Silent killer..