Makapuku Forum

Makapuku Forum

Najihisi mtu mwnye bahati..

Unanifanya niishi kwa raha kama mtoto wa mfalme,
We kimwana usie na mwanya kama wa silvia bahame,
Unazid kunichanganya na umbo lako namba nane,
Sauti yako inanivutia zaid ya kinanda cha majani,
Penzi lako sio la wizi kama la mademu wa briz.
Haupendi pesa kama mfuko wa suruali,
Maumivu yakikuzid sana mie ndio wako daktari.
Unanifanya goigoi hawez kubomoa ukota,
Unanifanya kibogoyo hawezi kutafna mfupa,
Unaniacha hoi kama pop star wa coca
Kwako nilidata longtime, leo nafurah uko na mimi, penzi lako ni tamu zaid ya bao la usingizini..
Penzi ni kikohozi kulificha hauwez, lina nguvu zaid ya umeme na haijengwi kwa cementi..
Apendaye vingi hatoshiba nyongeza..
Jambo moja la msingi naomba ujue nakupenda...
 
Karibu kwenye top tena kama kawaida yetu ya kila siku

Ila leo napenda kutumia fursa hii kuwaambia woote mlokuwa mna sapot segment hii ahsantemi sanaa, na now Szczesny ataondoka JF na kuendelea na maisha mengine, nilipenda ni tufike wote kwenye 100 k but i wish you guys the best sta potea KF tuu ila napotea JF kwa ujumla and nawakubali sana wakuu kwa miez takriban mi 3 au 4,ya kuwa pamoja kama familia ahsanteni sana sanaa.

So nta shusha kumi kali za mwisho then i think tuta agana, then ntaweka rekodi ya kuwa member aliye aga JF( stupid me).

Twende kazi
Duh! ni nini tena kimetokea hommie? So kumi kubwa ndo basi tena?? ... Haya maamuz ulimshirikisha na JJ kweli?.... Nweyz kila la kheri kiongozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom