Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Ni shiiiiidaHahaa...
Mi ni geniusEwaa, marhaba bibie, kama ulikuwepo kwa head yangu.
Mi mwenyewe inanihusu 100%Inanihusu hiyo..
Yangu ni Colgate yenye nembo ya BlueZipo colgate zenye green.. Natumia colgate herbal, nyingine blue n red, sijawahi kuona black.. Ila madawa mengi ya kichina huwa ni black..
Mie siku zote kabla ya kununua dawa hicho ndio kigezo cha kwanza.
Au wanyakyusa??Duuuuh hao wazee sijawaelewa bado..![]()
Najihisi mtu mwnye bahati..Nahisi nakuzimikia zaidi komando kipensi wangu...![]()

Makofi kwakeeeBamutu ba kongo, uko na speed, ndyo vile unawekaga na rekod ya 94k. Ndyo pighaga na makofi kwa werrrrrraaaasonnn...![]()
![]()


Wanyakyusa ndio wenyewe ila wasukuma walishika chati kipindi cha nyuma lakini kwa sasa wamerudia nafasi yao



Teh teh teh.. Nampa offer, tunakesha chumban siku nzima, akinikinai tu, ruhusa kurudi kwao, mie asinirudishie hata thumni..Analipa gharama zake

Hao labda watakuwa wakina UsalipaAu wanyakyusa??
Wa level ya kina Einstein.Mi ni genius
Nzuri pia...Yangu ni Colgate yenye nembo ya Blue
Hapa umenishika haswaaa....Najihisi mtu mwnye bahati..
Unanifanya niishi kwa raha kama mtoto wa mfalme,
We kimwana usie na mwanya kama wa silvia bahame,
Unazid kunichanganya na umbo lako namba nane,
Sauti yako inanivutia zaid ya kinanda cha majani,
Penzi lako sio la wizi kama la mademu wa briz.
Haupendi pesa kama mfuko wa suruali,
Maumivu yakikuzid sana mie ndio wako daktari.
Unanifanya goigoi hawez kubomoa ukota,
Unanifanya kibogoyo hawezi kutafna mfupa,
Unaniacha hoi kama pop star wa coca
Kwako nilidata longtime, leo nafurah uko na mimi, penzi lako ni tamu zaid ya bao la usingizini..![]()
![]()
Penzi ni kikohozi kulificha hauwez, lina nguvu zaid ya umeme na haijengwi kwa cementi..
Apendaye vingi hatoshiba nyongeza..
Jambo moja la msingi naomba ujue nakupenda...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



,Baby wewe unajua sanaa wewe...


Asavali aiseeNzuri pia...
Ukionja, hutochoka, ndio wee utakuwa unanisumbua asubuh nisibanduke maungon kwenda kazini.. Tuendeleze kamnywesoSio kwa kukesha huko...![]()
Tumeshikana.. Maana nahisi we umenishika zaid bibie..Hapa umenishika haswaaa....,Baby wewe unajua sanaa wewe...
![]()