Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ndiyo ukweli wenyewe huoHabari za kiintelijensia zinasema alikuwa akitegemea kupata mtoto wa Dodi ndio maana Royal family haikuweza kustahimili
Makapuku ni homa ya jijiRutashobolwa, jifunze kutofautisha kati ya kitambi na mimba...
Makapuku forum
Replies 93k
Views. 839k
Wakongwe forum
Replies 1k
Views. 93k
Wapi na wapi...
Raha sanaaaaBasi na sie tunavyopendwa kuchokozwa..![]()
hadi raha..
Ndio![]()
![]()
![]()
![]()
Nimefurahije sasa
anasoma pages za nyuma akija kukuta mwenye nyumba kaaga sijui itakuwaje!!!Wabaya sana waleNdiyo ukweli wenyewe huo
Tena female dog wivuWe call it female wivu
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Karibu mwana mpotevuHellooo fellaz, niaje humu ndani? Za masiku? Nimeimiss sana KF... naona uzi unapepea kama kawa, ndo kwanza niko nasoma post ya 88304 sa ivi sijui ntafika sa ngap huko mlipo.
Afu naona wengine wameni-wish RIP hahahahaaaa mi sijafa bana acheni hizo
Pamoja sana mkuu mussolinSina la ziada kutoka katika Historia, Kwa udhamini mnono wa Princess Diana.
Tumekamilisha Mwezi wa August, mwezi ambao viongozi wengi wamezaliwa. Tukutane kesho kwenye UKUTA mkiona kimya mjue ndio hivyo tena.
Pia leo ni siku ya mwisho ya dirisha la usajili barani Ulaya " Transfer Deadline Day, hivyo kwa sisi wapenda soka leo tutakuwa bize na hilo.
Byeee!!

Alitoa chozi game ya mwisho kufuzu UEFA
Kijana anahasira sana na nchi
Alichoma nyumba game ya Liverpool

Pep hamtaki 7bu anapenda kipa anayecheza km beki wa kati(kuanzisha mpira,kucheza pasi za kupoteza muda n.k)....hiyo kazi Joe haiwezi anajua kudaka haina ubishiAlitoa chozi game ya mwisho kufuzu UEFA
....yupo kifua waziKijana anahasira sana na nchi
