Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makapuku naona mmeanza kukimbizwa na wakongwe forum hahahahaha daaa mnavituko sana...
 
1982 - Christopher Katongo anazaliwa.

Ni mchezaji wa Timu ya taifa ya Zambia.

Alikuwa ni mmoja wa wachezaji waliobeba ndoo ya Kombe la Mataifa ya Africa akiwa na Zambia.
1472629553208.jpg
1472629557523.jpg
1472629561253.jpg
1472629565176.jpg

Kocha alikuwa bishoo Herve Rennard
.........
 
Sina la ziada kutoka katika Historia, Kwa udhamini mnono wa Princess Diana.

Tumekamilisha Mwezi wa August, mwezi ambao viongozi wengi wamezaliwa. Tukutane kesho kwenye UKUTA mkiona kimya mjue ndio hivyo tena.

Pia leo ni siku ya mwisho ya dirisha la usajili barani Ulaya " Transfer Deadline Day, hivyo kwa sisi wapenda soka leo tutakuwa bize na hilo.

Byeee!!
Ahsante Musso.
 
1472630171144.jpg

Sawa kamanda

......................
 
Hellooo fellaz, niaje humu ndani? Za masiku? Nimeimiss sana KF... naona uzi unapepea kama kawa, ndo kwanza niko nasoma post ya 88304 sa ivi sijui ntafika sa ngap huko mlipo.
Afu naona wengine wameni-wish RIP hahahahaaaa mi sijafa bana acheni hizo
 
....asee Karibu briz, ....maadam unasoma acha nikuache usome, pamoja sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom