makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,897
- 104,137
Welcome home briz.. Himself.Hellooo fellaz, niaje humu ndani? Za masiku? Nimeimiss sana KF... naona uzi unapepea kama kawa, ndo kwanza niko nasoma post ya 88304 sa ivi sijui ntafika sa ngap huko mlipo.
Afu naona wengine wameni-wish RIP hahahahaaaa mi sijafa bana acheni hizo
