Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Naelekea KIA upo nikupe lift to NairobiHii mutu iko paris bar hapahapa bongo
Mbona hidaya nko naye hapa viavia?Niko Alusha kwa Hidaya wangu naondoka jioni hii kuelekea Nairobi.
Ca va bien mukulu, habari za mishughuliko???Ca va papa!
Wapi SasaWanyakyusa ndio wenyewe ila wasukuma walishika chati kipindi cha nyuma lakini kwa sasa wamerudia nafasi yao
MugabeNa wazee ni wa Jamii gani??
Hahaha huwezi nipa lift wew, hiyo kitu nimesahau kitamboNaelekea KIA upo nikupe lift to Nairobi
Wa nini kwa mfanoMi ni genius
Poa sana ndo twataka rejea home soonCa va bien mukulu, habari za mishughuliko???
Briz naona umerithi mikoba ya sczNi nyingi sana nyingine nlikua naziruka tu
Cc mkongoMkongo hili neno LAHA nna walakini nalo...niambie maana yake kwanza ntakujibu![]()
Wako vizur.. Coach akiweza kuwaungnisha vyema.. Ikapatkana chemistry nzuri, watakuwa na timu nzuri aisee..
Nzuri, tupo uliadimika sanaAkhsante sana ankali, habari ya hapo mujini?
AmeeenMishe ziko poa kabisa, utukufu kwa Atupaye riziki na uzima