Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,226
- 39,942
Jaman thanks alot, mlikuwa nami
Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Kabla sja ondoka niseme nime wakumbuka watu wafuatao
Werrasom
Briz
Hata hawa japo waliondoka muda mrefu
Liz
Th name
Amazing
Manuu
Emmyguy
Sumbai
Linamo
Hata
Quigley na shululu kidogo(japo hata leo walikuepo)
"In the end we will remember not tha words of our enemies, but the silence of our friends"
Martin Ruther King jr.
Thanks.

Wapo kasoro Briz yupo offline
Sema wanazurura tu Jf
Wanataka wabembelezwe
...............

Eashajiona madtaa 7bu wana maLIKES......Wakianza kupotezwa na kina Ngedsre ndo watapata akili
![]()
![]()
![]()
..............

Kweli uko vizuri mkuu...Eeeh namjua sana
Mchiz ni korofi sana yule![]()
Mia mia mzee wa HighburyPamoja sana mkuu mussolin
weka videoUsishangae ukaniona...ngoja nifanye mchakato wa kuandika mirathi na wosia kama wewe kabla mambo hayajawa makubwa...![]()
viva forever!!Dikteta yuko njema sana anatuletea vitu adimu, yaani kwa Kifupi kila mtu anaitendea haki Segment yake na binafsi naona inaleta mvuto sana kila siku mada hazikosekani, Viva Kapukuz!!![]()
Ukum** Masudi leo kafikiria nini.?
Amen.Bila samahani pebari wetu....
Tuko pamoja sana
UkutaUkum** Masudi leo kafikiria nini.?
Umenikumbusha Mzee wa Farasi!! Yupo hai bhana.Hivi Ali Choki alisha fariki ee!?
Sio kila siku ni Ijumaa...Mi mwenyewe nilibanwa...jioni sio mbaya
Siku hazifanani
.........
Haiizidi Mbagala.
Pia timu ya taifa ya Brazil hujulikana kwa jina la " The Selecao ".
Brunei hatari jamani. Watu wanakula raha huko hatari.
Chalii ya Kongo za siku mingiPeoples maamboz