Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Fanyeni kazi mjenge taifa mkimaliza ntakuja kupaka rangiHatuna jinsi, tufanye kazi tu
Fanyeni kazi mjenge taifa mkimaliza ntakuja kupaka rangiHatuna jinsi, tufanye kazi tu
Missing you more binamuBinamu JJ popte ulipo ume misika sana
KaribuAhsante sana JJ.
Hiki kifupi ni tatizo
Tangu juzi unachezwa mpira hapa, ni ngumu kuelewaMissing you more binamu

Nawaona majirani mkiwa katika ubora wenuWewe tena jirani yako ndiyo nduguyo...Nukuu kutoka kwa Ali choki...![]()
Ni kweli kabisaHawa jamaa huwa hawako siriaz na maisha yao.
Bila samahani pebari wetu....Jamani nina kazi imenibana, jioni ntashusha segment yetu pendwa ya leo katika Historia.
Samahani kwa usumbufu.
VivaDikteta yuko njema sana anatuletea vitu adimu, yaani kwa Kifupi kila mtu anaitendea haki Segment yake na binafsi naona inaleta mvuto sana kila siku mada hazikosekani, Viva Kapukuz!!![]()
Weka pichaHuyu jamaa kavurugwa aisee...![]()
Twende mam tukafe huku tumeshikana mikonoUsishangae ukaniona...ngoja nifanye mchakato wa kuandika mirathi na wosia kama wewe kabla mambo hayajawa makubwa...![]()
Twiga atasubiriHuo urefu huyu lazma anachuana na twiga
Hivi Ali Choki alisha fariki ee!?Wewe tena jirani yako ndiyo nduguyo...Nukuu kutoka kwa Ali choki...![]()
Sja elewaTangu juzi unachezwa mpira hapa, ni ngumu kuelewa![]()
![]()
![]()
![]()
MhhhhhhHivi Ali Choki alisha fariki ee!?