shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hatuna jinsi, tufanye kazi tuMi mzima
Maisha magumuuuu
Awamu ya 5
Hatuna jinsi, tufanye kazi tuMi mzima
Maisha magumuuuu
Awamu ya 5
HeeeeNaona siku nyingine imeanza tena...Ukuta nao unazidi kukomaa![]()
Wasikuvunje tu miguuHahha
Tarehe 1,watanikoma
Tuko pamoja wakuu.Dikteta yupo vizuri kichwani inaonyesha ni msomi & mpekenyuzi na "leo ktk historia " anaandika kijanja sana
Binafsi nimehamasika kufuatilia ishu nyingi kila siku anapozipost mfano issue ya John Kennedy ,CIA n.k
.......
Pamoja ndugu yangu.Kabsaaa
Mi uwa namkubali bwana dikteta, kwenye polifix yuko fresh, sku nyngne had MMU una mkuta
Yet haja wahi kuonekana aki tu diss ndugu zake hapa, yaan fureshiii
HahahaWasikuvunje tu miguu

Hahaha
AaahPamoja ndugu yangu.
Ahsante sana JJ.View attachment 387200View attachment 387201View attachment 387202
Na mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti,
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa 89k naitwa Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ. Ciao
Hawa jamaa huwa hawako siriaz na maisha yao.
hahaha...Stones unamjua?Hahaha
Aaah
Mbona nakuaminia mkuu
Ila asje akawa anenda kwa kina roger stones
Eeeh namjua sanahahaha...Stones unamjua?

Pamoja sana mkuu mussolinJamani nina kazi imenibana, jioni ntashusha segment yetu pendwa ya leo katika Historia.
Samahani kwa usumbufu.
CulJamani nina kazi imenibana, jioni ntashusha segment yetu pendwa ya leo katika Historia.
Samahani kwa usumbufu.
Usishangae ukaniona...ngoja nifanye mchakato wa kuandika mirathi na wosia kama wewe kabla mambo hayajawa makubwa...Heeee
Na wewe utakuepo kwenye The WALL!!?

