Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Numbar 3 Basket Star
wengi ya viumbe hawa nao huwa kwenye kina kirefu na wanasema kinacho fanya waeonekane hivo ni kwa kuwa wana mikono iliyo kama matawai, nimeambiwa kuwa hawana damu, na wanapumua kwa mfumo tofauti na viumbe vingne vya baharini
So kwa kuwa tofauti hvo, ni moja ya viumbe vinavo ishi sana baharini kwani huishi zaid ya miaka 35
So kwa kuwa tofauti hvo, ni moja ya viumbe vinavo ishi sana baharini kwani huishi zaid ya miaka 35
crush