Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua...
![]()
![]()
![]()
.........




TupooooooMakapuku mpooo,
Akaoza na hadi mifupa ikapotea na kupotea...Aliyeturoga alishakufa

Dikteta yuko njema sana anatuletea vitu adimu, yaani kwa Kifupi kila mtu anaitendea haki Segment yake na binafsi naona inaleta mvuto sana kila siku mada hazikosekani, Viva Kapukuz!!Dikteta yupo vizuri kichwani inaonyesha ni msomi & mpekenyuzi na "leo ktk historia " anaandika kijanja sana
Binafsi nimehamasika kufuatilia ishu nyingi kila siku anapozipost mfano issue ya John Kennedy ,CIA n.k
.......


Usisahau kuniandika na mimiUsishangae ukaniona...ngoja nifanye mchakato wa kuandika mirathi na wosia kama wewe kabla mambo hayajawa makubwa...![]()

Ni kweli aisee na sijui ni kwanini...Kawaulize.....tena wangekomaa now Mchawi angekuwa out Top Ten
Kawaida binadamu tuna asili ya wivu & roho ya kwanini hivyo palipo na wengi hapakosekani wazee wa wivu mfn yule aliyekuwa akijiita Kapuku mkongwe/mzee alisepa kimyamimya baada ya kuona kuna madogo wanamporomosha kwenye ile list so akaonekana kuchukia na kusepa bila kuaga now anahangaika kupiga sfori chitchat hapahapa
Sio wote waliofurahia thread kusonga mbele
...............

Huo urefu huyu lazma anachuana na twigaMi mwenyewe kaniacha hoiView attachment 387116
Bila samahani...Jamani nina kazi imenibana, jioni ntashusha segment yetu pendwa ya leo katika Historia.
Samahani kwa usumbufu.

Wewe tena jirani yako ndiyo nduguyo...Nukuu kutoka kwa Ali choki...Usisahau kuniandika na mimi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Karibu sana binamuThanks
Weka pichaMi mzima
Maisha magumuuuu
Awamu ya 5
Sidhani kama hawa ndugu zetu wako siriaziTwanga photo View attachment 387357
Bongo movieSidhani kama hawa ndugu zetu wako siriazi