Makapuku Forum

Makapuku Forum

FIX ZA BITOZ:
Enzi hizo nikiwa standard three Mabibo Beach Primary School nikirokea Chokambaya family na masela kibao tulikuwa tunadharaulika (si mnajua akili za kiroto)......basi kuna kidemu kinatokea Uzunguni full nyodo na kina maringo zaidi ya 7 ,full mashauzi,kinajifanya karembo na kasafi class zima kila siku uniform inang'aa imepigwa pasi na class hakafagii ole wako ukaguse

Sasa one dei tukiwa kwenye ule wimbo wetu wa "stand up sit down X 2,we are X 3,.stand up sit down"...... Si ile tunanyanyuka sketi yake ikamvuka na kubaki na chupi lake chafu lenye matobo kibao utafikiri imeng'atwa na panya....ikawa bonge la soo kumbe yy ni msafi wa maonyesho tu
Tangu siku hiyo alipunguza nyodo

***************""""

Uongoooo
 
Nilikuwa najiuliza Kobe Bryant kwanini hupenda kuvaa jezi namba 24 na wakati mwingine jezi namba 8 wakati akicheza Los Angeles Lakers.

Kumbe ni tarehe 24 mwezi wa 8 ni siku yake huko jijini California.
Ndo ukweli wenyewe
Halafu Beckham akiwa LA Galaxy alivaa # 32 ikiwa ni kinyume cha 23 ambayo ni # aligokuwa akivaa Jordan
...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom