Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yap, walikuwa vizuri sana.

Ndio maana Brazil ilipofungwa na Uruguay katika fainali ya kombe la Dunia mwaka 1950, ambapo Brazil walikuwa wenyeji hawakuwahi kumsamehe kipa wao aliyesababisha Uruguay kupata goli la ushindi hivyo Brazil akafa 2-1.

Inaaminika kipa yule alitengwa sana kisa tu Uruguay kubeba ndoo mbele ya baba zao.

Kipa yule aliitwa Barbosa nadhani.
....I didn't know this....thanks again
 
2001 - Aaliyah afariki Dunia.

Alikuwa ni mwimbaji hodari wa muziki, Dansa, msanii wa filamu toka nchini Marekani.

Alishiriki katika filamu ya Romeo must die ya Jet Lee.

Siku kama ya leo Dunia ilimpoteza mrembo huyo akiwa na miaka 22 tu, baada ya kutokea kwa ajali ya ndege huko Bahamas.

Apumzike kwa amani, nilikuwa namkubali sana.

Dedication Song: See U When U get There by Coolio.
Aaliyah walimuua kabisa
 
1472136893675.jpg
Shululu, hivi ndio hii???
 
2001 - Aaliyah afariki Dunia.

Alikuwa ni mwimbaji hodari wa muziki, Dansa, msanii wa filamu toka nchini Marekani.

Alishiriki katika filamu ya Romeo must die ya Jet Lee.

Siku kama ya leo Dunia ilimpoteza mrembo huyo akiwa na miaka 22 tu, baada ya kutokea kwa ajali ya ndege huko Bahamas.

Apumzike kwa amani, nilikuwa namkubali sana.

Dedication Song: See U When U get There by Coolio.
1472137836774.jpg
1472137842040.jpg
1472137847317.jpg
1472137853050.jpg
1472137857363.jpg
1472137861131.jpg

Sad
.......
 
2009 - Senator Ted Kennedy anafariki Dunia.

Alikuwa ni Senator wa Massachusetts.

Alikuwa ni mdogo wa Mwisho wa aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy.

Ni miongoni mwa wanafamilia wachache wa Familia ya Kennedy kufa kifo cha kawaida.

Nitawaletea Laana/ Mkosi wa Familia ya Kennedy " The Kennedy Curse ".

Wengi wakiamini vifo vya ajabu vilivyoikumba baadhi ya wanafamilia wa Familia hiyo ni Mkosi au Laana.
1472138294321.jpg
1472138305380.jpg
1472138313624.jpg
1472138324654.jpg
1472138331310.jpg
1472138337664.jpg
1472138341739.jpg

Nux ziliwaandama
...........
 
Yap, walikuwa vizuri sana.

Ndio maana Brazil ilipofungwa na Uruguay katika fainali ya kombe la Dunia mwaka 1950, ambapo Brazil walikuwa wenyeji hawakuwahi kumsamehe kipa wao aliyesababisha Uruguay kupata goli la ushindi hivyo Brazil akafa 2-1.

Inaaminika kipa yule alitengwa sana kisa tu Uruguay kubeba ndoo mbele ya baba zao.

Kipa yule aliitwa Barbosa nadhani.
WangemuESCOBAR
Nahisi ukataliki umesaidia kuwafanya wawe watulivu

.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom