Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Kuna kpindi ulidai huona batan yaLike mbona nazitoaga bila kinyongo

Kuna kpindi ulidai huona batan yaLike mbona nazitoaga bila kinyongo

Kwenye simba hapo sijaelewaKwa Udhamini mnono wa Miaka 80 ya Simba, Ibra Kadabra pamoja na Nanenane tukutane kesho kama kawaida yetu.
Bye!!
Muslim brotherhood ttzo wana tawala kwa hisia mno
Ilikuwa fitina....isharudishwaKuna kpindi ulidai huona batan ya![]()
Nipo mkuuuSikukuu njema wakulima.
Hivi kuna mkulima humu???
Mkuu hao wengi wao walistaafu na wakaingia ukongweni au wejgne walitoka kabsa jfWako wapi waasisi hawa?
Watu wa nje wanatoa rushwa kubwa ila siye wa ndani na ss tuko njema kwa kutoa mweerNUKUU NO 1#
Sehemu kubwa ya watu wanao toa rushwa barani Africa si waafrica, Bali ni watu kutoka nje.
Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olusegun Obasanjo.
Obasanjo alizaliwa Mach 5,1938.
Ni jenerali wa jeshi la Nigeria aliyeiongoza nchi hiyo kwa wadhifa wa Rais, kuanzia mwaka 1999 hadi 2007.
Kabla ya hapo Obasanjo pia aliwahi kuongoza nchi yake kwa mkono wa chuma (utawala wa kijeshi) kuanzia Feb 13,1976 hadi Oct 1,1979. Na kisha kuchaguliwa kwa njia ya kidemokrasia
Hiii sja elewaNUKUU NO 2#
Serikali iliyoingia madarakani baada ya uchaguzi wa April 1994 ilikuwa ukihitaji kujiendesha kwa bajeti.
Ni bajeti ilivyokuwa imeandaliwa na waziri wa fedha, Derek Keys, na alifanikiwa kushawishi serikali hiyo kuendeleza misingi ya Sera ya soko huria ambayo imekuwa ikitumika miongo kwa miongo nchini Africa ya Kusini.
Maneno haya yalisemwa na Fredrick de klerk. Frederick Willem de klerk alizaliwa Machi 18,1936,
Ni mwanasiasa wa Africa kusini aliyekuwa Rais wa taifa hilo kuanzia September,1989 hadi Mei 1994.
Ni Rais wa saba wa na wa mwisho wa Africa kusini chini ya ubaguzi wa rangi
Thanks mkuuKwa hisani ya Walcott Sina la ziada, nawatakieni nane nane njema
Waislamu wakorofiMuslim brotherhood ttzo wana tawala kwa hisia mno
Furesh aseeHabari za mchana family
Niliwahi kuicheki ila sikumbuki vizuri.....mi Air Force One ndo ipo kichwaniBonge ya movie Frost alimpa Nixon kama laki dola 6 hivi iki am hoji
Hahahah atariiii
Hata mimi nashangaaHuyu mother naye kakaaje kama si ukorofi ni nini![]()
![]()
Kwema kaka, habari za 88Furesh asee
Kweema!!?
Kaicheki tena ila imepooza sema ni interesting hasa pale frost ana mbana nixon hadi nixon ana waomba msamaha wamarekan na kukubali kosaNiliwahi kuicheki ila sikumbuki vizuri.....mi Air Force One ndo ipo kichwani
...........
AaahKwema kaka, habari za 88
Tatizo siku hizi sina stimu na movieKaicheki tena ila imepooza sema ni interesting hasa pale frost ana mbana nixon hadi nixon ana waomba msamaha wamarekan na kukubali kosa
Airforce bonge ya movies hzo
Aaah
Nzuri si wajua tena siye ndo wakulima wenyewee
Niko chanika huku nashereheka
Mwanangu sio siri uko talented kiasi flan, i wish ungekuwa karibu![]()
![]()
![]()
![]()
Mwanangu sio siri uko talented kiasi flan, i wish ungekuwa karibu
