Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Taifa kubwa...Simba SportsView attachment 377776View attachment 377777View attachment 377778View attachment 377779
Mooo
Moooooooooo
Moooooooo ipo pool
...........
Taifa kubwa...Simba SportsView attachment 377776View attachment 377777View attachment 377778View attachment 377779
Mooo
Moooooooooo
Moooooooo ipo pool
...........
Nani huyo, Naskia yanalipa!Labda mkulima wa mapapai
hahaha..ukipata soko zuri yanalipa sana.Nani huyo, Naskia yanalipa!
Leo katika Historia:
Ni siku ya Wakulima nchini Tanzania maarufu kama " Nane Nane "
Ambapo maonyesho ya wakulima hufanyika kwenye mikoa mbalimbali.
Ni siku ya mapumziko.
Mkulima daima atakufa maskini.
Kwa Udhamini mnono wa Miaka 80 ya Simba, Ibra Kadabra pamoja na Nanenane tukutane kesho kama kawaida yetu.
Bye!!
Jenerali Obasanjo heshima kwake.NUKUU NO 1#
Sehemu kubwa ya watu wanao toa rushwa barani Africa si waafrica, Bali ni watu kutoka nje.
Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olusegun Obasanjo.
Obasanjo alizaliwa Mach 5,1938.
Ni jenerali wa jeshi la Nigeria aliyeiongoza nchi hiyo kwa wadhifa wa Rais, kuanzia mwaka 1999 hadi 2007.
Kabla ya hapo Obasanjo pia aliwahi kuongoza nchi yake kwa mkono wa chuma (utawala wa kijeshi) kuanzia Feb 13,1976 hadi Oct 1,1979. Na kisha kuchaguliwa kwa njia ya kidemokrasia
Aje Mabibo Beach km ataliweza kimba la majiHuyo jamaa wa mwisho hapo ni mbunifu.
Atapata kipindupindu.Aje Mabibo Beach km ataliweza kimba la maji
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Kipara dalili ya upungufu wa akiliLakini yeye hana kipara
Karibu.Asante kwa magazeti my wii
Sawa kikofia kidogoHao ni abiria walioshukia njiani kabla ya kufika destination.
Wala tusiwajadili
Afadhali kasepaAlikuwa anatunyima raha sana.
exactlyNi mjapenga
Shukrani sanaKwa Udhamini mnono wa Miaka 80 ya Simba, Ibra Kadabra pamoja na Nanenane tukutane kesho kama kawaida yetu.
Bye!!
Kije bhana. Si unajua makao makuu yataanza kutumika rasmiKwel kinastahili kuja huku
Angekuwa arsenal angecheza game 1 tu!!!