Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Leo katika Historia:
1974 - Rais Richard Nixon wa Marekani huku akiwa live katika Televisheni zote nchini Marekani atangaza kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo baada ya kuandamwa na kashfa ya Watergate.
Anakuwa ni Rais wa kwanza na pekee mpaka sasa nchini Marekani kujiuzulu wadhifa huo wa Urais.
Leo katika Historia:
1990 - Iraq chini ya Saddam Hussein yaivamia Kuwait na hali hiyo ilipelekea kuzuka kwa vita vya Ghuba dhidi ya Marekani.
Leo katika Historia:
2010 - Mafuriko makubwa yatokea huko China katika miji ya Gansu na kuua takribani watu 1400.
View attachment 377740View attachment 377741
Kufikia hapo basi naomba nimpishe Mussolin5 aje aendelee kulisongesha jahazi hili.
Kumbuka tu magazeti haya yameletwa kwenu kwa hisani ya Ibracadabra. Niite Jimena Jimenes
Adios
thanks XimeLeo katika Historia:
1951 - Mohamed Morsi anazaliwa.
Ni Rais wa 5 wa Misri.
Mwalimu umelala?Morning all
Happy Monday
Leo katika Historia:
1951 - Louis Van Gaal anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Barcelona, Bayern Munich na Man Utd
Hapana aiseeeMwalimu umelala?
HBD RogerLeo katika Historia:
1981 - Roger Federer anazaliwa.
Ni mcheza Tennis mahiri toka nchini Uswizi.
HBD SahaLeo katika Historia:
1978 - Louis Saha anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Man Utd na Ufaransa
Asanteee sanaaaaKwa Udhamini mnono wa Miaka 80 ya Simba, Ibra Kadabra pamoja na Nanenane tukutane kesho kama kawaida yetu.
Bye!!
Sikukuu njema wakulima.Leo katika Historia:
Ni siku ya Wakulima nchini Tanzania maarufu kama " Nane Nane "
Ambapo maonyesho ya wakulima hufanyika kwenye mikoa mbalimbali.
Ni siku ya mapumziko.
Bado mkuu...nafikiri umeiwahiHiyo 79k bado tu?