Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Yes, wakikupigia hesabu zao mbona unaweza acha kazi uende Kimbiji!alaaa...kumbe
Yes, wakikupigia hesabu zao mbona unaweza acha kazi uende Kimbiji!alaaa...kumbe
Ntaanza na ukija nakupa mazao ukale na wanaoAcha ubishi nenda kalime basi ...kilimo kinanufaisha walanguzi tu unafikiri wakulima hawapendi kuendesha vogue?
Wachache wenye hela ni wale ambao hawategemei kilimo pekee
..........

Atakuwa mvuvi huyo
Wasi wasi wako tuharufu ya utapeli
Cha kizamani au green house?Inategemea....kuna waliotoka kwa kilimo
Huu sasa uchocheziNenda na Ikulu kaulize kwanini serikali inapenda sifa.
![]()
![]()
![]()
............

Wa kambaleAtakuwa mvuvi huyo
Kwenye mpira ni bahati mbaya
Huyu mother naye kakaaje kama si ukorofi ni nini

Unaleta uchochezi, fika ofisi ya upelelezi bila kukosa kwa mahojiano ya kina zaidi.

Sasa akaeje jamani??Huyu mother naye kakaaje kama si ukorofi ni nini![]()
![]()
Nod achanue namna hiyoSasa akaeje jamani??
Sasa we huoni kuwa mbele yake kuna mizigo??Nod achanue namna hiyo
Njema pole na starehe zako za 8/8Habari za mchana family
Njema pole na starehe zako za 8/8
Mi niko kazini mkuu, nafurahi kuona like yako kwa mara ya kwanzaAsanteeeeeView attachment 377740View attachment 377741
Kufikia hapo basi naomba nimpishe Mussolin5 aje aendelee kulisongesha jahazi hili.
Kumbuka tu magazeti haya yameletwa kwenu kwa hisani ya Ibracadabra. Niite Jimena Jimenes
Adios
Like mbona nazitoaga bila kinyongo![]()
![]()
![]()
Mi niko kazini mkuu, nafurahi kuona like yako kwa mara ya kwanza
Piga kazi ndo maisha![]()
![]()
![]()
Mi niko kazini mkuu, nafurahi kuona like yako kwa mara ya kwanza
Bonge ya movie Frost alimpa Nixon kama laki dola 6 hivi iki am hoji