Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 2#

Serikali iliyoingia madarakani baada ya uchaguzi wa April 1994 ilikuwa ukihitaji kujiendesha kwa bajeti.
Ni bajeti ilivyokuwa imeandaliwa na waziri wa fedha, Derek Keys, na alifanikiwa kushawishi serikali hiyo kuendeleza misingi ya Sera ya soko huria ambayo imekuwa ikitumika miongo kwa miongo nchini Africa ya Kusini.
Maneno haya yalisemwa na Fredrick de klerk. Frederick Willem de klerk alizaliwa Machi 18,1936,
Ni mwanasiasa wa Africa kusini aliyekuwa Rais wa taifa hilo kuanzia September,1989 hadi Mei 1994.

Ni Rais wa saba wa na wa mwisho wa Africa kusini chini ya ubaguzi wa rangi
 
Asante, baada ya hapo akaingia Baba wa Afrika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom