Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Hao ni abiria walioshukia njiani kabla ya kufika destination.
Wala tusiwajadili

Hao ni abiria walioshukia njiani kabla ya kufika destination.
Wala tusiwajadili

Chama la Wana.Taifa kubwa...Simba Sports
NUKUU NO 1#
Sehemu kubwa ya watu wanao toa rushwa barani Africa si waafrica, Bali ni watu kutoka nje.
Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olusegun Obasanjo.
Obasanjo alizaliwa Mach 5,1938.
Ni jenerali wa jeshi la Nigeria aliyeiongoza nchi hiyo kwa wadhifa wa Rais, kuanzia mwaka 1999 hadi 2007.
Kabla ya hapo Obasanjo pia aliwahi kuongoza nchi yake kwa mkono wa chuma (utawala wa kijeshi) kuanzia Feb 13,1976 hadi Oct 1,1979. Na kisha kuchaguliwa kwa njia ya kidemokrasia
Mrisho Mpoto ndio ishu zake ukiacha sanaahahaha..ukipata soko zuri yanalipa sana.
Inategemea....kuna waliotoka kwa kilimo
kitambo sanaKama sizzya nae sijui kapotelea wapi!!!
alaaa...kumbeMrisho Mpoto ndio ishu zake ukiacha sanaa
NnekuthomaHahaaa![]()
![]()
Me mwalimu WA kapukuz tuuuuu

Si unaona umekiamsha kikapuku uchwara kimeanza chokochoko bora usingekileta tuUnaleta uchochezi, fika ofisi ya upelelezi bila kukosa kwa mahojiano ya kina zaidi.
Nenda na Ikulu kaulize kwanini serikali inapenda sifa.Sasa nisiulize jamani??
Kama kadawia 79k. CongratulationsHahaha mzinguaji sana yule jamaa
Yeah!!!kwa kina Takuma
Acha ubishi nenda kalime basi ...kilimo kinanufaisha walanguzi tu unafikiri wakulima hawapendi kuendesha vogue?Inategemea....kuna waliotoka kwa kilimo
Kwa hisani ya Walcott Sina la ziada, nawatakieni nane nane njema
....
Sio Chuba AkpomHamuna sie watu bling bling tz ndo kuna kitawuloSio nyie wakongo wa mikorogo
![]()
![]()
![]()
..........

SungusunguWanajeshi huvaa kofia nyekundu kuashiria hatari...sasa hao Jeshi uchwara wanavaa za njano...nahisi ni Mgambo.

Hujamzawadia kambale!

Unaleta uchochezi, fika ofisi ya upelelezi bila kukosa kwa mahojiano ya kina zaidi.
