Umeona eee, mambo ya kufungua kitabu watasoma wasostahiliSio vizuri kumwaga mchele kwenye kuku wengi
Tutakupandisha kizimbani.Sawa Dikteta uchwara
...........
Vipi nye** unaweza vumilia?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
...........
Mi naamin siyo mkongweJuzi alinambia atakuja af kapotea, af kama mkongwe yule!!! Hamjaona swaga zake???
Mimi huyo[emoji15] [emoji15]Dah basi kama ni hivyo mi niko tayari tumkate katikati usawa wa kiuno afu mi ntachukua upande wa chini please [emoji4] [emoji4]
Cjawahi mwona popote jfSo shekhe yule yule ndani ya kanzu mpya? Aise wakongwe wana mambo sana
....usipodanganywa hujapotea!!!....au ni yeye na multiple IDsMkuu
Alikuwa sapotiv kishenz yaan cku ile kaja
Afu itakuwa tumeenda kinyume na taratibu.Umeona eee, mambo ya kufungua kitabu watasoma wasostahili
Masaki mbwembwe tu.
Ardhi ya tz ni kubwa watazikwa tuPunguzeni speed mtaua Vingongo kwa BPView attachment 377123
...........
Mimi nakumbuka kuna siku nilishawahi piga usingizi nikiwa chooniInafika kipindi mtu anaenda chooni kukata gogo basi analala huko japo kwa robo saa pamoja na harufu ya chooni lakini watu hawajali.
Hahahahaha....usipodanganywa hujapotea!!!....au ni yeye na multiple IDs
[emoji12] "usiache mbachao kwa msala upitao"Mkuu
Alikuwa sapotiv kishenz yaan cku ile kaja
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Afu itakuwa tumeenda kinyume na taratibu.
Mkuu utamuwa umetuonea, toa kambale watu wapate mboga.View attachment 377124
Karibuni Mabibo Beach......natoa togwa kwa kila kapuku
Kambale siwapi ng'o
...........
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4]Moyo wangu kwatu.. Asante mwaya [emoji85][emoji85]
Dah huwez amini nimekumbuka wakati nakaribia makuyuni, ubize ulianzia kwenye gari.. Huko kote nlipita nkiwa naongea na simuDaaah hata hivyo ingekuwa ngumu kukucheki labda kama ingekuwa usiku kwani mchana tait sana.
Hata sms ulishindwa mkuu?
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Heee! Papaa, mbona hatuambiani??
jibu maridhawa kabisaArdhi ya tz ni kubwa watazikwa tu