Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Enheeee exactly kwenye kusinzia hapooo ndo upigie mstariiBasi elewa hivyo, Usiku tulikesha kwa kuimba asubuhi ni kazi tu. Utasinzia walau kwa dk 5 ila ukishtukiwa ni msala.
Huez kukaa siku mbili huja pata hata usingizi
Ubongo uta leta shda