Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Mambo ya kunduchi, mbuni, oljoro, maktupora, ruvu nkUmeona eeh, siku 42 lazima zikate bila kuona kitanda.
Unasinzia kwa kuibia.
Mambo ya kunduchi, mbuni, oljoro, maktupora, ruvu nkUmeona eeh, siku 42 lazima zikate bila kuona kitanda.
Unasinzia kwa kuibia.
Mwambie huyo my X shem[emoji3]Basi elewa hivyo, Usiku tulikesha kwa kuimba asubuhi ni kazi tu. Utasinzia walau kwa dk 5 ila ukishtukiwa ni msala.
Mabibo Beach pamekuwa maarufu Jf kupazidi Masakihahaha...si upo karibu nao hapo mabibo beach.
Hahaha afu nimesahau kabisa ka jamaa ni mtu wa iringaAna wivu, jilinde asije jinyonga ukasaidie polisi dadake
Hivi we ni TeamSzcesny au TeamBriz maana sio kwa upambe huo[emoji4]
[emoji87]Briz amesema eti uko na jirani!
Wapi yule kapuku mpya?? Nilikuona ulivyokuwa unapiga jaramba
Kusinzia na kulala ni vitu viwili tofauti.Kwa maneno haya mjadala umeisha....huwezi kukaa siku mbili bila kulala
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
...............
Kazi ya jeshi ugangamaleNiliwah kuona picha za kina halima mdee na zito kipindi kile wameenda jeshi ni noma sana, walikua wanaonekana vichwa tu na miili ka ya watoto
Daaah hata hivyo ingekuwa ngumu kukucheki labda kama ingekuwa usiku kwani mchana tait sana.Jumanne nilipita pande hizo sema nlikua nawah hata sikusimama hapo kabisa
Unazeimaaa???[emoji15]Basi mwambie nami pia nimem miss
So shekhe yule yule ndani ya kanzu mpya? Aise wakongwe wana mambo sanaJuzi alinambia atakuja af kapotea, af kama mkongwe yule!!! Hamjaona swaga zake???
That's TRUEEnheeee exactly kwenye kusinzia hapooo ndo upigie mstarii
Huez kukaa siku mbili huja pata hata usingizi
Ubongo uta leta shda
[emoji27]Yaan umeanza kumskilza briz!!!
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]Hamnaaa wewe mkuu na jimena mmeanza kunipa was was
Halaf mrejeshe sweetapple asee
Sio vizuri kumwaga mchele kwenye kuku wengiMambo ya kunduchi, mbuni, oljoro, maktupora, ruvu nk
Sawa Dikteta uchwaraKusinzia na kulala ni vitu viwili tofauti.
Sisi hatujaliPunguzeni speed mtaua Vingongo kwa BPView attachment 377123
...........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno mujarabu kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha wivu bhana huyo ni mshikaji wa jimena kwa kampani ya hapa na pale nothing more
Masaki mbwembwe tu.Mabibo Beach pamekuwa maarufu Jf kupazidi Masaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......