briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Naona Szczesny anabana mpaka salamu.. Khaa!Hehehehe nimecheka sanaaa
Naona Szczesny anabana mpaka salamu.. Khaa!Hehehehe nimecheka sanaaa
AiseeKusinzia kumo, ila ole wako uonekanea na Makamanda utajua kwanini Jua halizami kaskazini.
Itabidi ujue tu, maana hamna namna nyingine sasaSikujua kama sitakiwi hata kumsikiliza,
Ana wivu, jilinde asije jinyonga ukasaidie polisi dadake
Hawezi chafua kwani hatape...Mchafuzi hyooo
Aka kivurugeee
Sawa basi ntafanya hivyoAna hangaika sana muunganishe na hao ili askusumbue tena
Juzi alinambia atakuja af kapotea, af kama mkongwe yule!!! Hamjaona swaga zake???Ngoja mcongo aje
Kumbe swetiepie keshawahiwa na werrason?Hamnaaa wewe mkuu na jimena mmeanza kunipa was was
Halaf mrejeshe sweetapple asee
Umeona eeh, siku 42 lazima zikate bila kuona kitanda.Waambie mkuu, vijana hawajapitia depo wanabisha, lazime upitie zoezi la kutolala hadi wiki kadhaa, ni sehemu ya mazoezi
Ukizingatia ni Iringa mojaAna wivu, jilinde asije jinyonga ukasaidie polisi dadake
hahaha...si upo karibu nao hapo mabibo beach.We Dikteta uchwara kambale wameingiaje kwenye hii mada
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
Ndo maanake! Unapiga kwata kama mita 100-150 umelala kabisaJamani bitoz nime muelewa hamaanish usingizi ule wenda kitandan kabsa kulala
Ila hata uko jeshin watu husinzia lakin ki aina na siyo wana kaa wiki sta hata lepe ya usingizi awaja pata
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hamnaaa
Tto ya briz ni maneno maneno iko mingi
Acha wivu bhana huyo ni mshikaji wa jimena kwa kampani ya hapa na pale nothing moreWana nchokoza ao
Eb muunganishe briz na atoto au miss chaga hapo

Hatari mkuu, ulikuwa kambi gani?....Kwei goma sisi tulipiga 7 wix
Jumanne nilipita pande hizo sema nlikua nawah hata sikusimama hapo kabisaPoa sana mkuu
Nenda geshi veeveHata Rambo hawezi kuvumilia usingia.....binadamu ana ukomo
Nyuki pekee ndo hawalali
..........
umeona eehAnajua labda ulikuwa unakesha kuvua kambale