Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Sisi hatujali

Sweet?Hana sifa za ugeni
Hapo sasa, mbona umeshtukaUmefundishwa wap hiyo!!?
Let's waitMi naamin siyo mkongwe
Na ata rudi tuu
Kama maji na ujiKusinzia na kulala ni vitu viwili tofauti.
Utapitia lin tena?kwa Jf yote yanawezakana
JumanneUmepita lini?
Utarudia hapa?Jumanne
Hapo Beach mbu???View attachment 377124
Karibuni Mabibo Beach......natoa togwa kwa kila kapuku
Kambale siwapi ng'o
...........
Mimi mvumilivu
Nilipita once nlikua naenda singida kupitia babatiUtapitia lin tena?
Umijuaje???Hasa wasaliti wana wivu sawa na mwizi asiyeweza amini mtu mwingine

So bado uko huko!Nilipita once nlikua naenda singida kupitia babati
Eti bhanaeeh???Hana sifa za ugeni
cc BitozJana naibu waziri alikuwa mabibo Beach Luhaga Mpina kukagua beach, sijui alionana na bitoz au hawakuonana
Vere simpo
Nna safari ndefu mkuu sijui ka ntarudia njia hyo tenaUtarudia hapa?
HivyohivyoUmijuaje???![]()