makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Kabisa mzee mwenzangu, hiyo huchelewi kutema mate kushoto ukafukia kulia. 😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi tunakubadilishia Mwenyekiti...
Usije kuleta fedheha Mzee mwenzangu..
Kabisa mzee mwenzangu, hiyo huchelewi kutema mate kushoto ukafukia kulia. 😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi tunakubadilishia Mwenyekiti...
Usije kuleta fedheha Mzee mwenzangu..
Usiseme hivyo mzee mwenzangu, nami nina moyo mwenzio.Anything for you Chairman[emoji3]
Mlijificha wapi, mie mpaka nataka nitoke.Tupo Mwenyekiti..
Hapa mtani atajipigia nyiingi tu, hii sio timu ni kikundi tu kimeokotana.[emoji929] HATIMAYE ZALAN WAMETUA DAR
.
Zalan FC ya Sudan Kusini [emoji1223] wamewasili nchini kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.View attachment 2351754
KamandaPolenii
Gawa tu ule raha duniani, unakibana bana kitakuja kuliwa na nyenyere tu 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sitaki kusumbuana na mtoto wa mama mkwe auntie sitaki shida bora nikufwe na utamu wangu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kabisa mzee mwenzangu, hiyo huchelewi kutema mate kushoto ukafukia kulia. [emoji23]
Ndiyoooo....Usiseme hivyo mzee mwenzangu, nami nina moyo mwenzio.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mlijificha wapi, mie mpaka nataka nitoke.
Basi fanya hivyo mzee mwenzangu, sio mpaka watoto watoke shule tena. Mamno yasiwe mengiNdiyoooo....
Kwenye Wazeee hakishindikani kitu....
Nawachabo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tupo hapa kwa comment section Mzee Mwenzangu....
Usijali Mwenyekiti...Basi fanya hivyo mzee mwenzangu, sio mpaka watoto watoke shule tena. Mamno yasiwe mengi
Sanamu yako sijui niijenge wapi mimiUsijali Mwenyekiti...
Kila kitu kipo under my Control..
ni kweli shangaziWazungu wanasema true love never die
Daraja la Kijazi[emoji3]Sanamu yako sijui niijenge wapi mimi
Naomba nikaliweke pale pale B.O.TDaraja la Kijazi[emoji3]
Sawa Mwenyekiti...Mimi ni nani nikatae.[emoji1]Naomba nikaliweke pale pale B.O.T
Safe House Swahiba...Mko wapi,furahi day
Fadha notisi inawezekana nikalihamishia kabisa BURJ KHALIFA juu kabisa kule.Sawa Mwenyekiti...Mimi ni nani nikatae.[emoji1]
Likae hapo until further notice.