Makapuku Forum

Makapuku Forum

Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake na kusema amefariki akiwa chini ya uangalizi wa matibabu huko Balmoral baada ya Madaktari kuwa na wasiwasi juu ya afya yake.
#MillardAyoUPDATES
#RIPQueenElizabeth
Screenshot_20220908-210238_OGInsta%2B.jpg
 
Huyu sasa ndie Mfalme wa Uingereza. Ni Charles mtoto wa Kwanza wa Malkia Elizabeth. Charles ana umri wa miaka 73. Charles huenda akabadili jina kama walivyofanya baadhi ya Wafalme wa Uingereza. Mtoto wa Pili wa Malkia ni Princess Anne ana umri wa miaka 72.
Screenshot_20220908-211556_OGInsta%2B.jpg
 
Mtoto wa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II, Prince Charles ndiye atarithi mikoba kutokana na kifo cha mama yake.

Prince Charles ambaye ni baba wa William na Harry, ndiye atashika kiti hicho.
Kwa sasa Prince Charles yuko kwenye makazi ya malkia Balmoral, Scotland na wanafamilia wengine waliokusanyika leo Alhamisi, Septemba 8, 2022, anatarajiwa kurejea jijini London kesho, Ijumaa Septemba 9, 2022.
Screenshot_20220908-211556_OGInsta%2B.jpg
 
Malkia Elizabeth II aliyefariki leo alikalia kiti hicho tangu Mwaka 1952 alipokuwa na miaka 26 tu.
.
Akiwa kitini kama Malkia , Uingereza imekuwa na Mawaziri Wakuu 15.
.
Amefariki akiwa na miaka 96.
.
Mtoto wake mkubwa, Prince Charles anatarajiwa kuwa Mfalme wa Uingereza baadae mwezi huu.
Screenshot_20220908-213342_OGInsta%2B.jpg
 
Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake na kusema amefariki akiwa chini ya uangalizi wa matibabu huko Balmoral baada ya Madaktari kuwa na wasiwasi juu ya afya yake.
#MillardAyoUPDATES
#RIPQueenElizabethView attachment 2350543
Apumzike kwa Amani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom