Makapuku Forum

Makapuku Forum

...hupendi kusalimiwa na kushukuriwa aunt!!!? Salam ni upendo, utanifanya niache kumsalimia Makiwendo sababu baada ya salamu huwa sijui niandike jambo gani jingine 🙂
Asante kwa kusoma
Nawasalimia wote bila kujali mmeamkaje na nnawatakia siku nzuri
Hapana binamu sio hivyo kuna ile inbox salaam haziishi hapana jamani
 
ist kitu gani kwake.. wafanya kazi wake wote aliwachukua Crown GRS204 na Mercedez Benz C250 CGI .. muambie akuchukulie Benz yake hata E350 hashindwi huyo, mwenzako simu moja tu pale CFAO.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie haiwezekani me ndugu yako nisimamie bomba la mwendokasi we unaishi kwa raha hivi
 
Back
Top Bottom