Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila HM... sasa mimi huko Masaki naenda kufanyaje jamani?

Mitaa yenu hiyo.. si unaona hadi Hotel unaijua[emoji2]
Ahaa kumbe umehamia kwenye nyumba ingine ile siku ile umenituma nipeleke zile taa kule bahari beach ile ya ufukweni kule eeeh! jumamosi nitakuja nikusalimie dada
 
Ninapoenda napajua mimi...
Nikuchek saa ngapi sasa? Nile Kiyoyozi mimi[emoji3]waiiiii
alafu kwanini ulikata ile course pale Havard ambayo wanakutana matajiri na viongozi wakubwa wakubwa tu duniani nakumbuka hata Sumaye alifanya ile course ya mambo ya Leadership sijui.. au biashara zimekutinga ☺️☺️..
 
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] Kitu DZD Autobiography ni [emoji91][emoji91][emoji91] kina Shunie hujawapa hata lift au kwakua unafanya siri.. Inabidi unisamehe kwa kuwa kihele hele kusema una Range Rover mpya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha hizo HM.... sasa wewe hadi umejua kina Shunie wasijue kweli?
Si unaona hadi wao wanashangaa tu[emoji2]
 
Ahaa kumbe umehamia kwenye nyumba ingine ile siku ile umenituma nipeleke zile taa kule bahari beach ile ya ufukweni kule eeeh! jumamosi nitakuja nikusalimie dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dadeki...
Si unaona unavyoijua vyema mitaa yako hiyo? Mimi huko hata sipajui aisee[emoji1]
 
Back
Top Bottom